Solar Electro - your free electricity
 
Kiswahili | English | Deutsch | Français | Portugûes | Español
Join
Solar Women-Group Project
Solar Technology Transfer
Project


Karibu
SolarElectro
Lengo Letu Huduma maalum
Nairobi
Jinsi ya Kuagiza Sema
nasi
Eleza
mwenzako
Masharti yetu
biasharani

 
Products
SolarCompact
Solar Panels
Solar Batteries
Energy Saving
Lights
Charge Controller
Pedal Generator 
Shake Torch
LED Lights
Solar Home
Systems
 
 
Lengo Letu

Lengo letu ni watu wote kupata umeme haraka iwezekanavyo.

Kampuni ya SolarElectro

SolarElectro ni kampuni iliyoanzishwa kutokana na uzoefu na ujuzi wa miaka 15 ya usambazaji na uendelezaji wa nishati ya mionzi ya jua vijijini.

Dhamira yetu kubwa ni kutoa huduma endelevu kwa kutegemea tekinologia sahihi na yenye gharama iliyo ndani ya uwezo wa wananchi vijijini. Lengo kamili la bidhaa za SolarElectro ni kuinua kiwango cha maisha kwa kuchangia kutoa umasikini, kuboresha afya na mazingira, kuleta ajira na kutoa nafasi ya biashara ndogo ndogo.

Kampuni ya SolarElectro imejitolea kushirikiana na vikundi vya wakinamama, mashule, vituo vya matibabu na pia yeyote anayehusika na vita dhidi ya umasikini

SolarCompact ni msingi wa maendeleo

  • Huduma ya Umeme Vijijini
    ni msingi wa maendeleo
  • Afya
    Huboresha huduma ya afya - huepusha
    madhara yatokanayo na mafuta ya taa
  • Elimu
    watoto na wanafunzi wasome jioni - elimika na elimu ya radio
    jifunze tekinologia ya nishati ya mionzi ya jua
  • Mazingira
    punguza uchafuzi wa mazingira
    epuka moshi
  • Ajira
    huleta ajira kwa fundi umeme
    kwa watengenezaji na wauzaji
  • Mawasiliano
    huboresha mawasiliano ya simu za
    mikono na ya radio
  • Biashara
    hutoa nafasi za biashara - fungua karakana
    za matengenezo ya SolarCompact
  • na mengine mengi
    Nchi itapunguza matumizi ya pesa
    za kigeni
 
  Solar Electro SolarElectro is a Registered Trade Mark of SolarElectro Co. Ltd
Solar Compact SolarCompact is a Registered Trade Mark of SolarElectro Co. Ltd
© www.solarelectro.com